mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Mim siseme amesha kuja Mtaalam Mama Mkwe farkhina atamaliza yote...............
Tandoor masala ina spice zote unaweza pikia kuku,pilau na mchuzi....
Na kuna tea masala pia safi sana unaweza pata huko au zanzibar ila ntakutumia picha ujipatie na wewe
Mimi natamani kila kiungo kinachopatikana hapa kwetu kifungashwe.Maana kiungo kikifungashwa kinaongezeka thamani.
Hapo kwenye mchaichai una wapenzi wengi halafu ambao uko packed haujaenea sana sokoni.Nitajie viwili vitatu basi mkuu.