Shindana na Biblia, si maneno yangu hayo. Au huiamini Biblia?Kwani shida ni Kutocheua tu? Mbwa anacheua? Mbona wachina wanamula? Paka anacheua? Nyoka anacheua? Kobe anazo kwato,je,anacheua? Je,wanaokula hivyo viumbe Mungu atawafanyaje kwa uelewa wako?
Shindana na Biblia, si maneno yangu hayo. Au huiamini Biblia?
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar.
Umenisikia au umeniona nikiyasoma?Huo sio uelewa uliokusudiwa na hivyo vifungu! Umesoma hayo maandiko kinyumenyume.Umesoma kwa kuanzia mbele na kurudi nyuma nyuma.Sasa unajua nini kimetokea kwa kufanya hivyo? Umepiga kisogo kwenye matope na kichwa chote kimenasia humo.
Umenisikia au umeniona nikiyasoma?
Maandiko yako wazi kabisa, kwa kila ayasomae. Usilete upuuzi wa kuwa sijui umesoma kinyume nyume au kimbele mbele.
Ni mjinga tu ambae anaweza kucheza na maandiko. Kumbuka hilo.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Qur'an 28:Maandiko yasipoeleweka yanageuka na kuwa "Kondikomaa"(geuz neno maandiko)! Hivi shuleni mlifundishwa na wajinga? Hivi shuleni mlikuwa mnabebelea mifuko ya madaftari na vitabu iliyoandikwa "Ujinga"?