viuno vya hawa watoto wa kizungu ni balaa,kumbe wanayaweza namna hii.

viuno vya hawa watoto wa kizungu ni balaa,kumbe wanayaweza namna hii.

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Posts
971
Reaction score
1,117
jionee mwenyewe mi hoi...................!

Last edited by a moderator:
nimeipenda sana hii .. african music ndani ya uropa
 
jionee mwenyewe mi hoi...................!

Kwa ninavyowajua hawa wazungu inaonesha hiyo rehersal yao ilichukua miezi sita.Lakini hata hivyo mchawi mchukie lakini usisahau kumsifia kuwa anajua kuroga lakini.Wamejitahidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom