Sisi tulioanza kufuatilia ndondi enzi za kina George Lister Sabuni, Koba Kimanga, Joseph Marwa, Rashid Matumla, Mbwana Matumla, Maneno Oswald "mtambo wa gongo", Hassan Matumla, Haji Matumla, Mzonge, Michael Yombayomba ni dhahiri mwakinyo Ni hazina ya taifaUshindi wa Mwakinyo utailetea shida sana kamati za maandalizi ya michezo ya ndondi kwa Tanzania siku za usoni kuwapata wanandondi wengine kuamini na kuja Tanzania maana ameshinda kwa kishindo sana yaani unaweza kusema ni kama uchaguzi wa serikali za mitaa alivyoshinda CCM
Ungesikiliza comment za Rashid Matumla akicoment wakati pambano likiendelea...hakika ungefuta huu upuuzi wako uliondika.Sisi tulioanza kufuatilia ndondi enzi za kina George Lister Sabuni, Koba Kimanga, Joseph Marwa, Rashid Matumla, Mbwana Matumla, Maneno Oswald "mtambo wa gongo", Hassan Matumla, Haji Matumla, Mzonge, Michael Yombayomba ni dhahiri mwakinyo Ni hazina ya taifa
Walikuwa wengi jukwaani bila sababu pia makocha ni wengi sana bondia anaweza kupoteza umakini ''concentration''Ushindi wa Mwakinyo utailetea shida sana kamati za maandalizi ya michezo ya ndondi kwa Tanzania siku za usoni kuwapata wanandondi wengine kuamini na kuja Tanzania maana ameshinda kwa kishindo sana yaani unaweza kusema ni kama uchaguzi wa serikali za mitaa alivyoshinda CCM