Vive le football

Vive le football

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
619
Reaction score
668
Hili game nimelikuta huko YouTube, vipi humu kunamtu kashawai kulichaeza? Ni game la mpira wa miguu! Kama PES
Screenshot_20210206-000217.png
 
Hili game nimelikuta huko YouTube, vipi humu kunamtu kashawai kulichaeza? Ni game la mpira wa miguu! Kama PES
NetEase hao wame.develop football game nao, limezinduliwa juzi tu tarehe3, naskia ni game zuri sana.. wakishaliweka play store tushtuane
 
Naskia now linapatikana Australia tu, wanajipanga kulileta nchi zote
 
Back
Top Bottom