Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania

Currently Active Users Viewing This Thread: 24 (2 members and 22 guests)

22 guests????

Nothing strange with that. Hata members wanaweza tambulika kama guests ikiwa wanasoma bila kulog-in.
 
Nothing strange with that. Hata members wanaweza tambulika kama guests ikiwa wanasoma bila kulog-in.

Mkuu Cpt Hadock...
Halisi atakuwa hafahamu hii.....kwi..kwi...kwi..watanzania bwana..

Halisi

Halisi is ???????
JF Premium Member
Join Date: Tue Jan 2007
Posts: 1,733
Thanks: 1,686
Thanked 2,227 Times in 674 Posts
Rep Power: 26

Credits: 165,117



Cpt Hadock

Cpt Hadock has no status.
JF Premium Member
Join Date: Thu Jan 2009
Posts: 46
Thanks: 82
Thanked 27 Times in 23 Posts
Rep Power: 0

Credits: 6,873
 
Sintashangaa kusikia Mutu ni mkuu wamajeshi ya Obama! maana katoka Danganyika na kapata bonge la cheo kama hicho🙂
 

Spear sisi wadanganyika ni watu wa ajabu. Hapa ndipo tunapopigiwa bao.
Sikiliza kisa hiki:
watu wa kwetu wakati wa uchaguzi wa ubunge 2005 niliwauliza je huyu mbunge wa chama kinaitwa chama wizi mnamtaka kwa nini awe mbunge wenu? Majibu ya wote yalikuwa ni kuwa huyo mbunge ana pesa sana na ni tajiri wa kutupa, na kwa sababu hiyo wanaona huyo ndiye anafaa.
Sisi ni wavivu wa kufikiri kama alivyowahi kusema BWM.
 

SIDHANI kama first language ni SWAHILI hawa jamaa si mnawajua walivyo wabaguzi???
 
Hongera yake huyo ndg yetu, itoshe tu kuamini ardhi hii si mbaya ktk uzazi na malezi. Tumtakie heri aifanikishe kazi ya waamerika
 
Huyu jamaa alipita tu Tanzania na wazazi wake, hajawahi kuwa wala kuomba/kuombewa uraia wa Tanzania kwa kipindi alichokuwepo bongo! Sasa inakuwa vipi awe classified as "Mwana wa Tanzania". Ina maana basi hata Obama aitwe mwana wa Indonesia (sijui kama Waluo kule Kisumu watakuelewa, kumbuka Kenya walichukua likizo kushangilia ushindi..!!). The fact is that Vivek is either Indian or American period! Nothing like a Tanzania.

It's high time we realize that we can always get nothing by trying to get these cheap relationships with some people just because they're successful in one way or another.

STAND UP AND BE COUNTED ON YOUR OWN MERITS..!! Don't give them chance to make you inferior.....remember they WILL NEVER give you the same chance!
 
Hongera yake huyo ndg yetu, itoshe tu kuamini ardhi hii si mbaya ktk uzazi na malezi. Tumtakie heri aifanikishe kazi ya waamerika

May I remind you that the guy ni mdosi! How can he possibly be ndugu yako?
Mdosi will never be your ndugu; hata kwenye vilio vyao hawata kualika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…