Kampuni ya Maarufu ya utengenezaji wa vifaa vya kieletroniki nchini china Vivo kwa mara ya nyingine tena anakua mdhamini wa mashindano ya UEFA kwa mwaka 2024.
Vivo ambaye ndo mshindi binafsi wa matoleo mawili ya kuwa mdhamini wa UEFA Euro kuanzia mwaka 2020 mpaka mwaka 2024. UEFA Euro ni mashindano ya kimataifa zinazo kutanisha timu za bara la Ulaya timu za Taifa.
Meneja wa masoko UEFA Guy - laurent Epstein amesema tunamtangaza kampuni ya Vivo ndiyo mdhamini wetu kwa mashindano UEFA Euro kwa mwaka 2024 ikishirikiana na UEFA kuendesha shughuli nzima.
Mashindano haya yatakayofanyika nchini ujerumani kuanzia June 14 mwaka 2024 na kumalizia July 14 kwenye Jiji la Berlin.
Sasa naanza kumwelewa Putin aliposema Unipolar world haiwezekani tena kwani the combined GDP of china and india is higher than that of USA and the combined GDP of BRICS is higher that that of Europe