Taasisi ya chawa wa kusifia.Tanzania ivi ni Taasisi ina huduma za uhakika maana ni uozo kila sehem
2013/14 nimepanda sana hizi mitumbwi kuvushwa. Badae serikali ikapiga marufuku watu tuliwamaindi sana maana hivi vilikuwa faster hukai foleni dk 1 tu upo upande wa pili.
Tanzania ivi ni Taasisi ina huduma za uhakika maana ni uozo kila sehem