Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Leo ni balaa hapa Kivukoni. Foleni na usumbufu mkubwa sana kwa wasafiri na wasafirishaji. Hakuna kiongozi yeyote aliyefika kutatua hili tatizo la vivuko kukwama.
Nashauri, kama Daraja hili la Magufuli limefikia 96% kukamilika, magari yaruhusiwe kupita kwa dharura.
Nchi yetu imejaliwa usheheni wa viongozi, ila ikakosa maarifa ya uendeshaji. Something wrong somewhere!!!!
Pia Soma. Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi) Lafikia Asilimia 96.3, Kukamilika Februari 2025.