Vivuko vya Watembea kwa Miguu

Vivuko vya Watembea kwa Miguu

Albert Wilson Albert

Senior Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
191
Reaction score
226
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu.

Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita ule mtaro. Mamlaka husika iliangalie hili kwa jicho la Usalama.

Mfano mwepesi ni Barabara ya Kutoka Kinyerezi kwenda Mbezi, kwenye vivuko Mifereji haina hata Kidaraja cha kuvukia kwenda Nje ya hifadhi ya Barabara. Unajikuta umevuka Ila unaendelea kupita sehemu hatarishi .

Nawasilisha
 
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu.

Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita ule mtaro.

Mamlaka husika iliangalie hili kwa jicho la Usalama.

Mfano mwepesi ni Barabara ya Kutoka Kinyerezi kwenda Mbezi, kwenye vivuko Mifereji haina hata Kidaraja cha kuvukia kwenda Nje ya hifadhi ya Barabara. Unajikuta umevuka Ila unaendelea kupita sehemu hatarishi .

Nawasilisha
Hizi changamoto zinatatulika ila mpaka waziri fulani awakurupushe watendaji waliokaa huko ofisini
 
Back
Top Bottom