Viwaja vilivyopimwa vinauzwa Kigamboni

Viwaja vilivyopimwa vinauzwa Kigamboni

MAHALI: Kigamboni Mwanzo Mgumu

BEI: 10, 000 kwa mita moja ya mraba

Viwanja vipo 30 jumla na vimepimwa vizuri.

Viwanja vipo katika ukubwa tofauti tofauti. Kiwanja kidogo zaidi ni mita 700 za mraba na kikubwa zaidi ni mita 2471 za mraba.

Viwanja sita kati yavyo vipo katika mazingira mazuri kwa matumizi ya ujenzi wa kibiashara.

Viwanja vipo Karibu na Kigamboni City College of Health.

Viwanja vipo kilometa 28 tu kutoka daraja la Nyerere Kigamboni.

Simu au WhatsApp: +255 656 203 045.

View attachment 1964191
Cha mita 2471 bei gani mkuu?
Wengine hesabu hatujui
 
Back
Top Bottom