nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
hahahahaaha Rais na waziri mkuu wameshalisema sana hili la viwanda 4000,watakuwa wametudanganya kweli?mmmh maana Ka nchi cha malawi kanaenda kutuokoa kwenye fedheha ya sukari labda wao malawi wana viwanda 10,000.
Viwanda vyote vya sukari nchini, kila mwaka kipindi hiki huwa vinafungwa kwa ajari ya matengenezo, sio kama ni tatizo la ghafla, ni uzembe wa serikali kushindwa kujiandaa kuagiza sukari.mtibwa amefunga kiwanda, kagera sukari inaenda wapi tuanzie hapo
vibali vya kuagiza si vilzuiwa 2016? ni nani atagiza kwa mazingira ya awamu hii yanayotegemea mood swing ya mtu mmoja kaamkaje,unaweza shangaa shehena yake yote inauzuiwa bandarini au inamwagwa baharini kwamba mabeberu yameweka sumuViwanda vyote vya sukari nchini, kila mwaka kipindi hiki huwa vinafungwa kwa ajari ya matengenezo, sio kama ni tatizo la ghafla, ni uzembe wa serikali kushindwa kujiandaa kuagiza sukari.
Mkuu Malawi kwenye uzalishaji wa sukari hawana mchezo wana uzarishaji mkubwa sana, sio kwamba ni tunapitisha huko, bali inazarishwa hapo malawi. Uchumi ni sayansi, na sio sayansi ya siasa, kuwa kekundu kanaweza kuwa keusi!!! Huu upungufu kila mwaka upo kutokana na viwanda vya ndani kuwa kwenye matengenezo, na uzarishaji wa ndani huwa hautosherezi mahitaji kwa karibu metric tone 160,000,,kwa mwaka, ambayo lazima iagizwe nje, shida ni mambo ya ki zima moto, halafu watu wanapata shida wao wanakuja na eti matamko ya bei elekezi, bei elekezi itafanyaje kazi wakati demand ni kubwa kuliko supply?? Ya bidhaa?, ndio maana huwa inaonekana ni siasa tu. wakishaagiza, na sukari ikaanza kupatikana, kidogo kidogo, wanaanza kujisifu tena, tayari tumeweza kuwadhibiti wanaotaka kumhujumu MEKO!!! mapambio yaanaanza, tu namshukuru Mheshimiwa kwa kutusaidia wanyonge sukari imeshuka bei!!! Wakati kabla ya sakata hilo mtu alikuwa ananunua sukari kilo moja 2400!!,baada ya sakata hili sukari imekomea 3000!!! Ndio bei mpya, anashukuru kwa kuwa wakati wa uhaba aliuziwa sukari 3400!!!,hilo ongezeko la 1000,yeye hana habari nayo tena, maisha yanaenda.It is a sad story ambayo itasimuliwa vizazi na vizazi.Mojawapo ya sifa kubwa ya serikali ya wamu ya tano iliyotikisa dunia ni jinsi ilivyoweza kujenga viwanda vikubwa 4000 ndani ya miaka 4 habari hii pia iingurumishwa na Profesa Kabudi kwenye United nations general assembly alipokuwa akifafanua mafanikio ya awamu ya tano
Ila sasa sukari jameni,maviwanda yote hayo yameshindwa hadi tunaagiza malawi?au inakuja via malawi kama transit? viwanda 4000 vimeshindwa tena kila mkoa uliagiza ujenge viwanda 100 nakumbuka RC mchapakazi mzalendo wa manyara alitoa amri na ultimatum kwa wakuu wa wilaya kwamba wajenge viwanda kwenye wilaya zao na waziri Jaffo alisistiza hilo
Hatua kali zichukuliwe kwa wasimamizi na mabosi wa hivyo viwanda katika 4000 hatukosi hata kumi vya sukari.
Hapana sio kwamba walizuia kabisa, uzarishaji wa sukari wa ndani ni kama metric tones 300,000,wakati mahitaji ni metric tones karibu 460,000 kwa mwaka. Hiyo tofauti ambayo ni tani 160,000,ndio tu hutolewa kibali cha kuagizwa nje. Hapo zamani ilikuwa ni kuagiza tu bila kuangalia mahitaji halisi, ndio maana viwanda vya ndani vilikuwa vinashindwa ku shindana hasa ki bei, japo kwa mnyonge ilikuwa ni faida. Shida itakuwa ipo serikalini tu, kwani toka aingie jamaa ni tatizo la kila mwaka, na huenda itakuwa ni kwenye mambo ya kodi, kwenye uingizajikulinganisha na hizo bei zao wanazotaka uizwe!!!vibali vya kuagiza si vilzuiwa 2016? ni nani atagiza kwa mazingira ya awamu hii yanayotegemea mood swing ya mtu mmoja kaamkaje,unaweza shangaa shehena yake yote inauzuiwa bandarini au inamwagwa baharini kwamba mabeberu yameweka sumu
Viwanda vyote vya sukari nchini, kila mwaka kipindi hiki huwa vinafungwa kwa ajari ya matengenezo, sio kama ni tatizo la ghafla, ni uzembe wa serikali kushindwa kujiandaa kuagiza sukari.
Hahahaha!! haya mabeberu sijui yapoje, na yanaionea Tanzania tu Dunia nzima. Sijua yanataka Tanzania ihamie wapi!vibali vya kuagiza si vilzuiwa 2016? ni nani atagiza kwa mazingira ya awamu hii yanayotegemea mood swing ya mtu mmoja kaamkaje,unaweza shangaa shehena yake yote inauzuiwa bandarini au inamwagwa baharini kwamba mabeberu yameweka sumu
Kabla meko hajaingia madarakani sukari kg moja ilikua 2000-2200 mpka 1800 baadhi ya maeneo Ila toka aanzishe kusapoti viwanda vya ndani Bei iko juu kila siku na haina dalili za kushuka.Mkuu Malawi kwenye uzalishaji wa sukari hawana mchezo wana uzarishaji mkubwa sana, sio kwamba ni tunapitisha huko, bali inazarishwa hapo malawi. Uchumi ni sayansi, na sio sayansi ya siasa, kuwa kekundu kanaweza kuwa keusi!!! Huu upungufu kila mwaka upo kutokana na viwanda vya ndani kuwa kwenye matengenezo, na uzarishaji wa ndani huwa hautosherezi mahitaji kwa karibu metric tone 160,000,,kwa mwaka, ambayo lazima iagizwe nje, shida ni mambo ya ki zima moto, halafu watu wanapata shida wao wanakuja na eti matamko ya bei elekezi, bei elekezi itafanyaje kazi wakati demand ni kubwa kuliko supply?? Ya bidhaa?, ndio maana huwa inaonekana ni siasa tu. wakishaagiza, na sukari ikaanza kupatikana, kidogo kidogo, wanaanza kujisifu tena, tayari tumeweza kuwadhibiti wanaotaka kumhujumu MEKO!!! mapambio yaanaanza, tu namshukuru Mheshimiwa kwa kutusaidia wanyonge sukari imeshuka bei!!! Wakati kabla ya sakata hilo mtu alikuwa ananunua sukari kilo moja 2400!!,baada ya sakata hili sukari imekomea 3000!!! Ndio bei mpya, anashukuru kwa kuwa wakati wa uhaba aliuziwa sukari 3400!!!,hilo ongezeko la 1000,yeye hana habari nayo tena, maisha yanaenda.
Hata hapo malawi??!!! Corona imeshika kasi kuanzia February, na wao wanajua kila mwaka kuanzia April , huwa tatizo la sukari lazima tu lijitokeze, hapa ni ubabaishaji tu!!!Wasingizie korona tu, logistics imekuwa ngumu kipindi hiki. nchi nyingi zilikuwa lockdown, hivyo ilikuwa ngumu kuagiza sukari ya kufidia nakisi ya uhitaji wa sukari kwa mwaka.