Maviwanda aliyoanzsha j.nyerere vyote vilishakufa!mfano Z.Z.K,MARUMARU,CITY COFFE,VIWANDA VYA NGUO!
ukitaka kuona magofu njoo utembelee maeneo ya kadege ya zaman au meko!ukfka mabatin stend au Mwalalika mills ulizia viwanda vya zaman viko wap?
utaoneshwa mapagare mengii sana yakiwa kwenye raman nzuri mno ila yamekosa muendelezaji!!!!!
viwanda vilivyojengwa kipind cha mkapa mpaka kikwete ni kama vile
T.B.L,PEPSI NA COCA,NA KIWANDA CHA MALUMALU sina taarifa kuhusu KIWANDA CHA CEMENT kama kiljengwa lin but kipo!!!