Viwanda hai mikoa ya Iringa na Mbeya

Www99

New Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
3
Reaction score
1
wapendwa nimatumaini yangu, niwazima wa afya.
Naomba msaada kwa wanyeji wamikoa ya Iringa na mbeya.
kuhusu viwanda vilivyo hai hadi sasa.

itanisaidia katika utafiti wangu ninaoufanya kwa sasa. naombeni sana msaada wenu.
Natanguliz shukrani.
 
Iringa food and logistics industries , dabaga sauce, maji Africa, chaibora , mufindi paper, hivyo ni baadhi kwa iringa
 
Maviwanda aliyoanzsha j.nyerere vyote vilishakufa!mfano Z.Z.K,MARUMARU,CITY COFFE,VIWANDA VYA NGUO!

ukitaka kuona magofu njoo utembelee maeneo ya kadege ya zaman au meko!ukfka mabatin stend au Mwalalika mills ulizia viwanda vya zaman viko wap?
utaoneshwa mapagare mengii sana yakiwa kwenye raman nzuri mno ila yamekosa muendelezaji!!!!!

viwanda vilivyojengwa kipind cha mkapa mpaka kikwete ni kama vile

T.B.L,PEPSI NA COCA,NA KIWANDA CHA MALUMALU sina taarifa kuhusu KIWANDA CHA CEMENT kama kiljengwa lin but kipo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…