Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 953
- 747
Kama mada inavyo jieleza hapo juu ni nitaanzia awamu ya tatu kipindi mkapa anabinafsisha viwanda.
Sababu za Ben kubinafsisha viwanda zilikua kweli kwa wakati ule lakini sasa hivi wakati umebadilika sasa ni wakati wa sr ya awamu ya 5 hata mkapa alisema kila zama na kitabu chake kwasasa ni kitabu cha jpm tunamwomba asifate nyayo za mkapa kwani kwa sasa viwanda ndio vinahitajika sana ili watu wapate kazi na kuliko awamu nyingine yeyote nashauri viwanda vile vilivyokua vya serikali vikauzwa na walio viuza wakavitelekeza uvifufuliwe upya na viwe chini ya awamu ya5 ili watu waanze kuchapa kazi kwa bidii tumechoshwa na magraduate kutupiga vizinga mitaani