GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Japo inasemekana hali ya usalama siyo nzuri sana Afrika Kusini, bado watu wanamiminika huko kila siku iitwayo leo!
Walipokamatwa Wasomalia waliokuwa wakipita Tanzania kinyemela, walisema wanaenda Afrika Kusini! Hata Waethiiopia nao madai yao ni yayo hayo!
Ukiwauliza Watanzania wengi nchi wanayotamani kuitembelea, watakuambia ni South Africa!
Hata mimi, kati ya miji ninayoitamani kuitembelea ni CAPE TOWN ya Afrika Kusini!
Ukiacha wanaoenda kwa ajili ya matembezi, wengine karibia wote wanaenda ama kibiashara au kutafuta kazi.
Kwanini waende Afrika Kusini na siyo mataifa mengine mengi ya Afrika? Inawezekana ni kwa sababu South Africa ni industrialized country hivyo kuna fursa nyingi za ajira!
I stand to be corrected!!!