hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi.
Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu.
Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda vyetu vidogo au vya kati ili kupunguza ukosefu wa ajira Kwa wasomi na vijana.
Kiwanda Cha kati .hivi ni viwanda vinavyo wezekana kujengwa na watanzania Kwa kuwa group kama hatoweza mtu mmoja peke yake.
Kiwanda kidogo hivi viko vingi mitaaani huku ila wenye viwanda wameshindwa kuboresha kisasa ili vilete tija kwao na taifa.
Tunaweza fungua viwanda vifuatavyo tz ya miaka kumi mpka 20.
Viwanda vya viatu, hapa sio lazima yawe magorofa no linaweza kuwa eneo kama karume na vijana wakaweka zana za kazi mle na kutengeneza viatu vya shuleni watoto n.k
Kufungua maeneo ya ushonaji kama ilivyo ilala ndani mle sokoni.kile nikiwanda watu wamejiajili kushona iwe kiraka kukata mashuka kupinda yani shughuli mchanganyiko.
Masoko kama buguruni na karume vile n viwanda watu wafungue maeneo ya mitaaani ili watu wapate kufanya biashara humo kiurahisi badala ya kutegemea wote twende ilala bugurude na vetenary.
Bakery za mikate:hivi ni viwanda muhimu vikiwepo ili watu watengeneza mikate ikiwa ya moto moto jioni hapa itachukua vijana wengi pia.
Masoko ya samaki:haya yatakuwa yanaingiza na kuuza samaki sababu vijana watakuwa wengi mana yake samaki watakuwa wengi na vijana kujiajiri Kwa wingi humo.
Masoko ya nafaka :humo ni muhimu sababu kutaajiri vijana wengi pia kama vile masoko mengine.
Masoko ya kutengeneza masofa.viwanda hivi vitasaidia kuajiri vijana wengi Kwa pamoja wkati mmoja.
Viwanda vya kuchomelea yani welding :viwepo hivi viwanda kazi za watu zifanywe Kwa haraka Kwa sababu humu mafundi watakuwa ni wengi kama ilivyo Sido pale .
Viwanda vidogo vidogo vilivyo kwenye uwezo wetu ni mwokozi wetu kama serikali na wadau watavijenga Kwa wingi na kuacha kujenga viwanda vikubwa
Ni jukumu la serikali na wadau kutafuta mbinu za kuweka hivi viwanda kwenye wilaya mbali mbali ili kuongeza soko la ajira Kwa vijana.viwanda vidogo ni mwokozi wa vijana Kwa ajira za ndani Taz tukivi anzisha

Upvote
0