Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo.
Itafutwe namna Wazalishaji wa vinywaji kwenye chupa za plastiki wawajibike kwa uchafu wanaozalisha.
Itafutwe namna Wazalishaji wa vinywaji kwenye chupa za plastiki wawajibike kwa uchafu wanaozalisha.