Viwanda vya maji ya chupa machafu

Viwanda vya maji ya chupa machafu

cosa nostra

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
1,773
Reaction score
1,805
Kwa sasa naona kila mjanja wa mujini anaanzisha kiwanda cha maji,

saizi hapa nimeagiza maji wameniletea maji ya ....(jina kapuni) chupa linanuka uvundo na kwa chini ndani kama kuna chengachenga hivi

swali linakuja hivi viwanda tunavyo kua tunavifungua kila siku kila mkoa kila wilaya
kweli vinamitambo sahihi na bora na vinakidhi vigezo vyooote kwa shughuli hii au wanatunywesha maji ya kisima tu

nawasiwasi sana baada ya kupiga hili fundo la maji sijui hali itakuaje kiafya.

Nawaomba sijui ni TFDA sijui TBS na wahusika wa viwanda hivi fuatilieni kwa ukaribu sana
hivi viwanda vya maji ya chupa
 
ungeweka jina ili wafuatilie mkuu najua hufanyi kwa nia mbaya
 
ungeweka jina ili wafuatilie mkuu najua hufanyi kwa nia mbaya
wasije wakanifwaha home,nawakumbusha tu wakaguzi wa hizi issue wasimamie kwa ukaribu sana otherwise tutapata magonjwa yasiyo na majina ic
 
Hata gide kuna wakati alikuwa na maji yake
sijui hata yaliishia wapi.
 
Nina wazo la kuanza kusindika Chai ya rangi
VIWANDA Oyeeee🙂
 
Nunua yale special,chupa moja dola 300
Yale yako salama zaidi

3png.png
 
Ukiamua kutetea jamii usiwe muoga we kama hayo maji umeyaona hayafai weka jina watu wasinunue uwe umewaokoa
 
Back
Top Bottom