cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
wasije wakanifwaha home,nawakumbusha tu wakaguzi wa hizi issue wasimamie kwa ukaribu sana otherwise tutapata magonjwa yasiyo na majina icungeweka jina ili wafuatilie mkuu najua hufanyi kwa nia mbaya
Upload harufu hiyo na wengine tunuse....
Labda dukani muuzaji alifutia vumbi na kitamba kichafu...uvundo ic kama kitu kimetoka uvunguni hivi au nguo ilio loana ikawekwa kwa muda...uploaded
what ab ndani chenga chenga vyeupeLabda dukani muuzaji alifutia vumbi na kitamba kichafu...
zile mbwembwe sijui ziliishia wapi matruck kibao...labda kabadilisha JinaHata gide kuna wakati alikuwa na maji yake
sijui hata yaliishia wapi.
Hilo ndio la kulidiscuss sasa...what ab ndani chenga chenga vyeupe
sawa mkuuwasije wakanifwaha home,nawakumbusha tu wakaguzi wa hizi issue wasimamie kwa ukaribu sana otherwise tutapata magonjwa yasiyo na majina ic
is miss chaga he or she,manaake hili neno Mkuu ninadra sana wakike kulitumiasawa mkuu
am she mkuuis miss chaga he or she,manaake hili neno Mkuu ninadra sana wakike kulitumia
ha ha ha ha haNina wazo la kuanza kusindika Chai ya rangi
VIWANDA Oyeeee🙂
witness protection not garanteedyani maji machafu halafu unaogopa kuandika jina la kampuni.
nimesha ya fungua haita leta maana sana na mahakamaniyani maji machafu halafu unaogopa kuandika jina la kampuni.