Viwanda vya Mikorogo Vikizimwa ulimwenguni tutawasahau wengi

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF,

Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini, siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi na mikorogo vizimwe na kutotumika tena. Ipo siku tutawasahau wengi, wengine tutawapa shikamoo bibi, wengine kuwakimbia kwa mabaka ya rangi nyingi tofauti.

Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.
 
Hahahaaa,eti kukaribia jini.lol
 
Wacha wajikorogeeee ili wazeeke mapema
 
katika watu ambao wamechukiza na mkorogo ni Ray C halafu eti anawaambia watu watumie mkorogo wake ili wawe kama yeye.
 
katika watu ambao wamechukiza na mkorogo ni Ray C halafu eti anawaambia watu watumie mkorogo wake ili wawe kama yeye.

Hua nacheka kweli anavyojisifia loo halaf mkali huyoo hhhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…