Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Binafsi nikipata uhakika kwamba wanalipa kiuanzia 10,000 kwa siku basi ningedandia basi hata kesho kuelekea viwanda vilipo.Viwanda vya Nondo kila siku ukienda vibarua ni wapya
Mtu akienda Leo mbilinge atayokutana nayo kesho harudi..
Malipo ni 10000,au 8000 kwa siku
Sema sina uhakika kihvyo lakin Kuna mdau alileta thread humu jamvin kuhusu Kazi hizoBinafsi nikipata uhakika kwamba wanalipa kiuanzia 10,000 kwa siku basi ningedandia basi hata kesho kuelekea viwanda vilipo.
Sehemu gani hiyo?. Kazi ngumu nimeshazoea.Kuna sehemu wanalipa 15k kwa siku ila mziki wake hutotamani kurudi kesho
Wanalipa kuanzia elfu 15 na kuendelea.Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo.
NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
10000 per day hadi 20000! Lakini unaweza iba nguo zako πππππOk straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo.
NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
Mkuu hii imekaaje ebu funguka π€£π€£π€£10000 per day hadi 20000! Lakini unaweza iba nguo zako πππππ
Ni pale utakapochemka na kuamua kutoroka eneo husika, huku ukinyata usionekane.Mkuu hii imekaaje ebu funguka π€£π€£π€£
Hahahaha..Ni pale utakapochemka na kuamua kutoroka eneo husika, huku ukinyata usionekane.
metro steel mills, kiwalaniSehemu gani hiyo?. Kazi ngumu nimeshazoea.