Viwanda vyote nchini vyatakiwa kutumia alama za utambulisho wa bidhaa, MSIBOMILIA (BARCODES)

Kagondo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
296
Reaction score
79
Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewataka wafanyabiashara na viwanda vyote nchini kutumia alama za utambulisho wa bidhaa, MSIBOMILIA (BARCODES) hapa nchini badala ya kutumia alama hiyo kutoka nchi za nje kama hatua ya kuimarisha masoko na utambulisho wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya nd ani na ya nje ya nchini.
 
Je, hizo alama za utambulisho zinauzwa au zinatolewa bure? Nani mwenye jukumu la kuzitoa hizo alama?
 
ndo hazijaainishwa bado bz,,,,wanataka iwepo bei tofauti tofauti kat ya wafanyabiashara wakubwa wa kati na wa wadogo
 
Je, hizo alama za utambulisho zinauzwa au zinatolewa bure? Nani mwenye jukumu la kuzitoa hizo alama?


haztolewi bure ,ni gharama, bt garama haztakwa sawa kwa wote.
kampuni itayohuska ni GS1 Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…