Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 20, 2013 #1 Orodha ya viwango vya mishahara mpya ya Watumishi Serikalini 2013 - wavuti.com wadau naomba tufahamishane, kuna vigezo gani vinavyozingatiwa kutoka grade moja kwenda nyingine? ni hayo! over!!
Orodha ya viwango vya mishahara mpya ya Watumishi Serikalini 2013 - wavuti.com wadau naomba tufahamishane, kuna vigezo gani vinavyozingatiwa kutoka grade moja kwenda nyingine? ni hayo! over!!
K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Oct 21, 2013 #2 Mkuu umetisha vipi wizara ya afya!