degera kichaa
Member
- Sep 12, 2012
- 90
- 51
mbona habariyako haijakamilika mkuu hiyo kauli kaisema naniKuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Toa ufafanuzi wa hiki unachoandika!Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Bro unachekesh kweli.. Hii post ni hewa na aliepost ni mtumishi hewa sasa atajibu nnToa ufafanuzi wa hiki unachoandika!
Duhh, nampa pole!Bro unachekesh kweli.. Hii post ni hewa na aliepost ni mtumishi hewa sasa atajibu nn
mkuu, muheshimiwa amesitisha hivi vitu sas wewe unasema kuna waraka umetoka. huo waraka ukwapi? tusiwapotoshe watuHabari zenyewe ni kama hizi hapo chini nimezikopi somewhere
HABARI HII NI LIVE BILA CHENGA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTSG1-1,970,000 8.TGTSH1-2,584,000 9.TGTSI1-2,865,000 PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2016. Asant
Kwani wewe ndiye msemaji wa Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu?Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Mishahara ya wafanyakazi wa umma inawahusu vipi wafanya biashara?Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Ufafanuzi/marekebisho kwenye bold tafadhaliHabari zenyewe ni kama hizi hapo chini nimezikopi somewhere
HABARI HII NI LIVE BILA CHENGA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTSG1-1,970,000 8.TGTSH1-2,584,000 9.TGTSI1-2,865,000 PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2016. Asant
duuhMishahara ya wafanyakazi wa umma inawahusu vipi wafanya biashara?
hiyo taarifa ni uongo haina ukweli hata chembe mpaka sasa hivi hakuna waraka wowote wa mishahara uliotoka acheni kudanganyaHabari zenyewe ni kama hizi hapo chini nimezikopi somewhere