P Prince MakBenny Member Joined Mar 28, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Jul 21, 2011 #1 Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please!
Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please!
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,133 Jul 21, 2011 #2 Prince MakBenny said: Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please! Click to expand... Kama vya zamani unavijua basi ongeza 8.6%
Prince MakBenny said: Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please! Click to expand... Kama vya zamani unavijua basi ongeza 8.6%