KISOZIMOTO
Member
- Feb 13, 2014
- 8
- 7
Ukitazama historia viwango vilivyokuwa vikitumiwa na baraza la mitihani kipindi cha nyuma Vilitumika kwa muda mrefu. Viwango hivi viliwanyima wanafunzi wengi kuendelea na masomo ya advance, hivyo basi mabadiliko ya sasa tutaona vijana wengi wakipata fursa ya kuendelea na masomo. Mfumo wa sasa umeepusha mfumo wa zamani uliokuwa wa kama zero-sum game kwenye matokeo! kuendelea na mfumo wa zamani ni sawa na kupinga na kukataa mabadiliko.