Maajabu namba moja kugongwa na Stend unitedWatani kwa hili mje mtupongeze jamani, soka la bongo tumelishika sana.
Acheni kuwa kama mkuu wa mkoa wa Arusha basi
Juz barcelona alivofungwa na alaves pia , ndio maajab ya mpira eeMaajabu namba moja kugongwa na Stend united
mkuu Barcelona imehusika vp[emoji1] [emoji1] [emoji1] nazijua chuki zako na natambua leo watamani kuja kule jukwaani endapo BARCA itapoteza ila UNFORTUNATELY hilo halitowezekana[emoji2] [emoji2] [emoji2] utaendelea kuliona lile jukwaa kama ukomaJuz barcelona alofungwa na alaves pia , ndio maajab ya mpira ee
Nimetolea mfano kuwa bingwa alifungwa, sasa Madrid hajafungwa, bayern hajafungwa juventus pia haja fungwa ningetolea mfano gani hapo!!? nime ichagua by chance tuu.,sa kama barca ilifungwa kwanini tushangae yanga kufungwa!!mkuu Barcelona imehusika vp[emoji1] [emoji1] [emoji1] nazijua chuki zako na natambua leo watamani kuja kule jukwaani endapo BARCA itapoteza ila UNFORTUNATELY hilo halitowezekana[emoji2] [emoji2] [emoji2] utaendelea kuliona lile jukwaa kama ukoma
KUHUSU MSIMAMO WA HII CAF KUTOKANA NA MADA HUSIKA NAONA HAWA CAF NAO WASHAKUWA KAMA TWAWEZA
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa hyo hujaona timu nyingine ila ukaiona Barcelona tu au unatuchawia ili leo tupoteze??Nimetolea mfano kuwa bingwa alifungwa, sasa Madrid hajafungwa, bayern hajafungwa juventus pia haja fungwa ningetolea mfano gani hapo!!? nime ichagua by chance tuu.,sa kama barca ilifungwa kwanini tushangae yanga kufungwa!!
Yanga wanafanana na Barca si kwa viwango bali kwakuwa wote ni mabingwa wa nch husika, vivyo hivyo Barca wanafanana na bingwa wa visiwa vya usheli sheli.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa hyo hujaona timu nyingine ila ukaiona Barcelona tu au unatuchawia ili leo tupoteze??
NILITEGEMEA USEME MBONA AZAM KAFUNGWA MNASHANGAA NINI YANGA KUFUNGWA yani kuifananisha YANGA a.k.a wakubebwa na MABINGWA FC BARCELONA huko ni kukufuru [emoji41]
ni kweli kuna aina ya kuifananisha Barcelona na yanga kamaYanga wanafanana na Barca si kwa viwango bali kwakuwa wote ni mabingwa wa nch husika, vivyo hivyo Barca wanafanana na bingwa wa visiwa vya usheli sheli.
Sasa kama bingwa wa Spain ana fungwa na timu ilopanda daraja bingwa wa Tanzania kufungwa na timu kama stendi ni sawa. Point yangu iko hapoo
Kipi kipyaaaaaaa????????? MtaniMaajabu namba moja kugongwa na Stend united
Hamna kwa celta siwalaum mbona mwaka jana mlifungwa 4-1 mwaka huu 4-3 infact mme improve.ni kweli kuna aina ya kuifananisha Barcelona na yanga kama
1: zote vilabu vya mpira
2: zote zinachezwa na watu
n.k
ILA USIILINGANISHE NA MBELEKO F.C KWA KUWA ILITELEZA KUPOTEZA DHIDI YA TIMU NGUMU YA CELTA VIGO
wapongezwe kutokana na hiyo CAF taasisi ya TWAWEZA[emoji2]Hamna kwa celta siwalaum mbona mwaka jana mlifungwa 4-1 mwaka huu 4-3 infact mme improve.
Mimi naongelea Alaves.
Nadhan mwisho wa siku ujumbe umefika , na Yanga wapongezwe