salaam,
naomba kujuwa kwa aliye na documents ambayo inaonesha mshahara wa mtu kutokana na elimu aliyo kuwa nayo hapa Tanzania.nataka kumwajiri mtu sasa nilikuwa nataka kujuwa nimwanziye wapi kutokana na elimu aliyo kuwa nayo.
asanteni sana kwa msahada