Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
viwango vya mshahara vya TNPSS B ndio vikoje najaribu kutafuta naona zingine zingine!
Mzoefu anisaidie
Mzoefu anisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe mdogo hivi843000/=
Aisee hapana🤣🤣we nendah tuh seijii jakagui huko sifa uwe lasaba au akudhamin kikweteeh🤣
unavyeti vingapi ? sema hiyo nafasi na elimu yakokumbe mdogo hivi
🤣🤣Anaogopa nnunavyeti vingapi ? sema hiyo nafasi na elimu yako
huyu anajifaragua tu hapa mtu anayeomba hiyo nafasi ni mwenye cheti level ya Astashahada tu . halafu anakuja anajifanya nyok nyokk🤣🤣Anaogopa nn
Wakati aliezaa lasita anamwongozahh
degreeunavyeti vingapi ? sema hiyo nafasi na elimu yako
punguza makasiriko hatujuanihuyu anajifaragua tu hapa mtu anayeomba hiyo nafasi ni mwenye cheti level ya Astashahada tu . halafu anakuja anajifanya nyok nyokk
Hiyo level haombi mwenye degree, au unataka nikuambie ni taasisi gani hiyo?degree
Sijasema nakujua au nakukasirikia ila hiyo salary scale ya hiyo level ndo inajielezea acha utotopunguza makasiriko hatujuani
sasa mkuu ningejuaje viwango vya TANAPASijasema nakujua au nakukasirikia ila hiyo salary scale ya hiyo level ndo inajielezea acha utoto
niambieHiyo level haombi mwenye degree, au unataka nikuambie ni taasisi gani hiyo?
sasa mkuu ningejuaje viwango vya TANAPA
Kila la kheri, Ukipata utasahau shida zakoniambie
mbona hujafafanua au nikufuate PMKila la kheri, Ukipata utasahau shida zako
AiseeHuko TANAPA na wenzie kina Ngorongoro huwa wanajilipa wenyewe mishahara mkuu