Viwango vya tozo katika stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo, Ilemela

Stendi za wilaya hizo gari ndogo hasa hizo mchomoko/Probox,colora,wish,Noah,hiace, Tata n.k zinalipa mara mbili, ushuru wa halmashauri na ' ushuru' wa traffic police' pale getini au kwenye kibanda wanachokaa. Ukilipa ule wa kwanza ukagoma wa pili basi jua utaviziwa mbele upigwe faini.
 
Huku tushazoea.

Ila kulipa kiingilio hafu ndani choo unalipa tena haijakaa sawa.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚,tena choo chenyewe kimetenganishwa haja ndogo mia 200 na haja kubwa mia tano,Tanzania cha bure ni salamu tu
 
Hivi kile choo cha standi mbezi kwenye daladala ni cha nani? Ile ni biashara nzuri sana huduma inaanza na miatano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…