CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687

Hapo juu ndi timu zilizowahi kuwa mabingwa wa Ulaya tangu inaitwa European Champion Clubs Cup (sasa inaitwa UEFA Champions League) tangu 1956

Hapa juu ni Ubingwa wa Ulaya wa klabu - Nchi zilizochukua mara nyingi zaidi

Ligi Kuu zinazoongoza kwa bora barani Ulaya - mpaka ilipofika FEB 2011 ambao Ligi ya England ndo inaongoza kwa Ubora

Nchi zilizoongoza kwa ubora Ulaya na idadi ya miaka iliyoongoza
Timu zinazoongoza kwa kucheza UEFA Champions League mara nyingi tangu ilipoanzishwa mwaka 1992 (bila kushirikisha kabla ya hapo ambapo ilijulikana kama European Champion Clubs' Cup )
NB: LIGI KUU YA UJERUMANI ITAANZA KUSHIRIKI TIMU NNE (4) KTK UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUANZIA MWAKANI SAMBAMBA NA LIGI ZA ENGLAND NA SPAIN BAADA YA KUPANDA KIWANGO HUKU LIGI YA ITALIA IKISHUKA KIWANGO.