wenceboy Member Joined Dec 22, 2013 Posts 13 Reaction score 8 Jul 17, 2014 #1 utamlinganishaje form six wa mwaka huu na miaka iliyopita?maana nina mdogo wangu kapata B,D,D kwenye comb.kaandikiwa four...du!
utamlinganishaje form six wa mwaka huu na miaka iliyopita?maana nina mdogo wangu kapata B,D,D kwenye comb.kaandikiwa four...du!
D duttu.e JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 851 Reaction score 972 Jul 17, 2014 #2 wametumia michanganuo gan sasa kuainisha hayo matokeo?