MKUU UNAJARIBU KUWAFUNDISHA VICHAA HESABU.Rating za mpira haziko hivyo. Hazifanyiki kwa hisia bali kwa kutazama performance. Kama tutatumia hisia basi aliyesababisha faulo ikazaa goli apate ndogo zaidi. Na sijaegemea upande mmoja. Nindhahiri kuwa Simba walitawala mchezo kuanzia mwanzo mpaka mwisho hivyo wachezaji wake watakuwa na rate za juu kwa vyovyote.
.......nimefanya rating kwa mapenzi...Hayo maamuzi mabovu hayazuii kuwa alikuwa kwenye kiwangobora sana. Hata hivyo nilitaka kumpa rate ya 9.8 hayo makosa (actually kosa moja tu la dhahiri) ndio yamefanya nipunguze rating. Ningefanya rating kwa mapenzi hakuna mchezaji wa Yanga angekuwa above 5.
Tukikwambia umefanya "Love rating" ukubali Sasa. Okrah aliyefanya makosa zaidi ya 2 umepunguza 0.8, Job unayesema alifanya kosa moja la kutomkaba Chama umepunguza 4!Kosa la kushindwa kumkaba Chama akatoa assist linamdiscredit
Umepunguza 2.8Tukikwambia umefanya "Love rating" ukubali Sasa. Okrah aliyefanya makosa zaidi ya 2 umepunguza 0.8, Job unayesema alifanya kosa moja la kutomkaba Chama umepunguza 4!
Unaweza kuandaa rating yako ukampa Okrah hiyo unayotaka wewe.Tukikwambia umefanya "Love rating" ukubali Sasa. Okrah aliyefanya makosa zaidi ya 2 umepunguza 0.8, Job unayesema alifanya kosa moja la kutomkaba Chama umepunguza 4!
Duh.....we jamaa,hivi unaangaliaga mpira vema kweli?ukiona viungo wa timu pinzani hawajafanya kazi yao ipasavyo ujue ni kazi ya huyu mwamba.....Mzamiru 8.2!!!??[emoji23] [emoji23] Kiungo anapiga pasi mkaa tu uwanjani, nyie hebu acheni masihara, mpira mlitizama pekee yenu [emoji23][emoji1787]
So uweke na ww zakwakoOkra alistali 6/10 maana kwa Mchezaji professional Simba ingetoka na magoli matatu kupitia kwako....kafanya ubinafsi nafasi 2 za wazi kabisa.
Ajifunze kwa Chama ni Mchezaji Anayeupiga mwingi na anahitaji timu ipate ushindi kupitia kwa Mchezaji yeyote aliye kwenye nafasi.
Rate zako ukiziangalia kiundani umeegemea upande mmoja.
Alikuwa na pass accuracy asilimia ngapi? Mpira wa bongo ukitaka uone mbovu tizama marudio ndio utaona vituko, tazama mechi mara ya pili utaona mzamiru vituko vyake,box to box kazi yake sio kukaba tu, mnampamba kuwa mkabaji, ila hamuoni pia ni mpotezajo mzuri.Duh.....we jamaa,hivi unaangaliaga mpira vema kweli?ukiona viungo wa timu pinzani hawajafanya kazi yao ipasavyo ujue ni kazi ya huyu mwamba.....
Kwanini makosa ya okra kushindwa kutoa pasi 4 za wazi hujampunguzia maksi,hivi unajua sisi yanga tunajua kuwa tungepigwa 4 kama si makosa ya okra.tena umempa man of the match.Kosa la kushindwa kumkaba Chama akatoa assist linamdiscredit
Ahsante Mkuu..sema mimi nimeunga hapo hapo kama hutojali..kwa kujumlisha wastani ili kupata wastani wa timu ili kujua nani alipata alama nyingi(Mimi Simba) hivyo nimepata kama ifuatavyo.Kwa kuzingatia performance na contribution ya wachezaji hapa nitajaribu kutumia scale ya 1-10 kiwafanyia rating wachezaji wa timu zote mbili.
SIMBA:
1. Aishi Manula 7.5
Alifanya kazi kubwa ya kuokoa hatari na pia kuanzisha mipango ya timu. Uzoefu wake ulisababisha kupatikana goli la Simba. Hata hivyo ameonesha kuwa vulnerable kwa kushindwa kupanga ukuta hadi akafungwa.
2. Mohamed Hussein 7.8
Alikuwa na kiwango kizuri sana. Alikuwa akipandisha mashambulizi na kukaba nafasi kwa ufanisi. Kisinda alionekana wa kawaida sana.
3. Israh Mwenda 7.5
Alifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu. Kutokana na umri wake mdogo inaonesha atakuwa bora na hata kumuweka Kapombe benchi. Anatakiwa kuongeza umakini na kasi ya kuachia mipira.
4. Enock Inonga 7.4.
Aliweza kuzuia njia lakini alikuwa akipoteza pasi nyingi kwa kupiga mipira bila umakini.
5. Onyango 7.8
Alikuwa na siku nzuri kazini. Umakini mkubwa kwa mipira ya juu na kumnyima pumzi Mayele. Alikuwa mzito kukimbia ila alitumia akili nyingi kurekebisha makosa yake na ya wenzake haraka.
6. Mzamiru Yassin 8.2
Alikuwa na kazi kubwa ya kufanya. Alifanya kazi kubwa ya kiungo mkabaji akijitahidi kusahihisha makosa ya Mkude aliyeonekana kutoendana na mchezo. Alistahili kuwa Man of the match kwa upande wangu
7. Jonas Mkude 5.7
Alifanya makosa mengi na hakuendana na kasi ya mchezo. Kama refa angekuwa makini basi alostahili kadi nyekundu kwa uzembe kabisa
8. Clatous Chama 7.8
Alionesha kuwa ni mchezaji wa kimataifa na ana uwezo wa kucheza bila presha hata kwenye mechi ngumu. Assist aloyotoa kwa Okrah anaweza kutoa yeye pekee yake kwenye ligi yetu. Bila shaka atakuwa MVP wa 2022/2023
9. Sakho 6.0
Alionesha kiwango kizuri lakini bado ana tatizo la kukaa na mpira muda mrefu na kutoa pasi sehemu isiyo sahihi. Bado ana utoto mwingi.
10. Moses Phiri 5.4
Hakuwa na siku nzuri kazini. Alikuwa na wakati mgumu kwa Bangala na Job. Alifanikiwa kupiga faulo 1 tu tena nje ya lango. Alikuwa msaada mkubwa akirudi nafasi ya kiungo kumsaidia Mkude mara kwa mara..
11. Augustine Okra 9.2
Man of the match. Aliwanyima mabeki wa Yanga raha muda wote. Kama refa angekuwa makini basi Okrah angepelekea wachezaji Djuma na Aucho kula umeme. Alionesha dhahiri umri wa Djuma umeenda sana.
12. Habib Kyombo 6.2
Anaonesha ana uwezo mkubwa sana na anaweza kuwa mshambuliaji hatari wa Kitanzania kama akipewa muda zaidi. Alliweza kuwin mipira yote ya juu katikati ya mabeki. Kwa muda mfupi aliocheza alikuwa na impact kubwa sana.
13. Kibu Denis 4.6
Inaonesha kuna jambo haliko sawa kwake. Ana nguvu, kasi na uwezo wa kukokota mpira ila anafeli sana upande wa kufanya maamuzi sahihi. Kwa siku za mbeleni naona wazi akikosa namba na kutolewa kwa mkopo kabla msimu haujaisha.
14. Erasto Nyoni 4.6
Aliingia dakika za majeruhi kabisa.
YANGA
1. Dijgu Diarra 7. 2
Alikuwa mzuri golini ila alifanya baadhi ya makosa ambayo huenda yangezalisha magoli zaidi.
2. Djuma Shabani 6.7
Alikuwa na wakati mgumu sana kukabiliana na Okrah. Alithibitisha maneno ya Zahera kuwa amenenepa sana. Alikuwa na uoga wa kupanda kusaidia kujenga mashambulizi kama kawaida yake.
3. Kibwana Shomari. 7.0
Anapoteza kujiamini, amekuwa na uoga wa kupandisha mashambulizi lakini pia winga wake Kisinda hakuwa akimsaidia kurudi kukaba nafasi timu ikipoteza mpira.
4. Dickson Job 7.2
Alicheza kwa umakini mkubwa sana. Alidhihirisha kuwa akizidi kuaminiwa atakuwa bora sana. Kukosa mawasiliano mazuri na golikipa wake kulikaribia kuiadhibu timu.
5. Yanick Bangala 7.0
Alielemewa sana na mashambulizi. Kushindwa kwake kumfanyia marking Okrah kulisababisha kufungwa. Pia alikuwa na wakati mgumu sana alipoingia Kyombo. Hakuweza kuwin mpira wowote dhidi ya Kyombo.
6. Khalid Aucho 6.4
Alishindwa kukamata dimba kabisa na pia uzito mkubwa ama majeruhi yanamfanya kokosa kasi na kufanya makosa ya hatari. Uzoefu wake ulisaidia kupata faulo iliyozaa goli zuri la Ki Aziz. Alistahili kadi nyekundu kwa makosa ya kujirudia.
7. Feisal Salum 6.8
Alijitahidi kukamata dimba la Kati lakini Mzamiru Yasin alimdhibiti vilivyo. Bado ana tatizo la kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati sahihi.
8. Moloko 5.5
Ameonesha ni mchezaji wa kawaida sana. Alidhibitiwa vilivyo na Israh Mwenda. Ana kasi nzuri lakini anakosa malengo. Hakuweza kusababisha hatari yoyote kwenye lango la mpinzani.
9. KI Aziz 7.0
Zaidi ya goli alilofunga hakuwa na maajabu kabisa. Alidhibitiwa vilivyo na Mzamiru na onyango. Anakokota mpira muda mrefu hadi anapoteza. Hawezi kusaidia timu ikiwa haina mpira.
10. Fiston Mayele 6.7
Licha ya kutokufunga goli anabakia kuwa mchezaji hatari sana. Inaonesha alipigwa "misumari" akawa anshindwa kutumia nafasi vyema. Alikuwa akirudi kati kutafuta mpira na kusaidia kukabia juu.
11. Tuisila Kisinda 4.6
Zaidi ya mbio hana cha kuipatia timu kabisa. Anakosa uwezo wa kushikilia mpira mpaka wenzake wafike mwenye nafasi. Anacheza traditional football anaenda mbele tu hata kama hakuna uwezekano wa kupita. Siyo mzuri off ball.
12. Farid Musa 6.2
Nashindwa kuelewa ni kwa nini Nabi anashindwa kumuamini. Alipoingia aliweza kumtingisha Onyango na kama angekuwa makini wangepata goli. Ana kasi nzuri, anashikilia mpira na anajua kucheza kwa nafasi.
13. Gael Bigirimana 4.0
Mpaka sasa najiuliza ni kwanini aliingia uwanjani. Zaidi ya rafu aliyocheza sikumbuki kama aligusa tena mpira. Ni mchezaji mwenye jina kubwa kuliko uwezo.
Mchezo ulikuwa mzuri na wenye presha kubwa sana kwa timu zote mbili.
Muamuzi alijitahidi sana kwa uwezo wake lakini alitoa kadi za njano zisizo na msingi na ambazo zilimpa wakati mgumu kufanya maamuzi kwenye makosa makubwa zaidi
Anapaswa aelewe kuwa refarii mzuri sio anayekuwa mkali kwa wachezaji bali anayekuwa fair na kufanya mamuzi yasiyoleta maswali.
Hayo ni maoni yangu na haimaanishi lazima yawe kama ya kwako.
View attachment 2396957View attachment 2396958
Tena hata yanga ikiwa chini zaidi ya hapo sio mbaya,hatukuwa kwenye form nzuri hata kidogo,tumepata matokeo nafuu kutokana na makosa ya wachezaji wa simbaAhsante Mkuu..sema mimi nimeunga hapo hapo kama hutojali..kwa kujumlisha wastani ili kupata wastani wa timu ili kujua nani alipata alama nyingi(Mimi Simba) hivyo nimepata kama ifuatavyo.
Yanga alama 84.3
Simba alama 89.8
Nilifuta alama za mchezaji mmoja wa Simba(6.2) ili kuleta uwiano wa wachezaji 13 kwenye uchambuzi wako...maana hapo uliwachambua Yanga wachezaji 13 na Simba 14.
Haya ni maoni yangu yaliyotokana na uchambuzi huu.
Ahsante
Ndugu umefanya kazi nzuri ila hujamtendea haki tshabalala, maana jamaa amekuwa mzembe sana. Anapoteza mipira mingi na anakabika kirahisi. Alinitesa sana kila akiwa nampira ,fanya urudiekumtizama, anastahili 4.5Kwa kuzingatia performance na contribution ya wachezaji hapa nitajaribu kutumia scale ya 1-10 kiwafanyia rating wachezaji wa timu zote mbili.
SIMBA:
1. Aishi Manula 7.5
Alifanya kazi kubwa ya kuokoa hatari na pia kuanzisha mipango ya timu. Uzoefu wake ulisababisha kupatikana goli la Simba. Hata hivyo ameonesha kuwa vulnerable kwa kushindwa kupanga ukuta hadi akafungwa.
2. Mohamed Hussein 7.8
Alikuwa na kiwango kizuri sana. Alikuwa akipandisha mashambulizi na kukaba nafasi kwa ufanisi. Kisinda alionekana wa kawaida sana.
3. Israh Mwenda 7.5
Alifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu. Kutokana na umri wake mdogo inaonesha atakuwa bora na hata kumuweka Kapombe benchi. Anatakiwa kuongeza umakini na kasi ya kuachia mipira.
4. Enock Inonga 7.4.
Aliweza kuzuia njia lakini alikuwa akipoteza pasi nyingi kwa kupiga mipira bila umakini.
5. Onyango 7.8
Alikuwa na siku nzuri kazini. Umakini mkubwa kwa mipira ya juu na kumnyima pumzi Mayele. Alikuwa mzito kukimbia ila alitumia akili nyingi kurekebisha makosa yake na ya wenzake haraka.
6. Mzamiru Yassin 8.2
Alikuwa na kazi kubwa ya kufanya. Alifanya kazi kubwa ya kiungo mkabaji akijitahidi kusahihisha makosa ya Mkude aliyeonekana kutoendana na mchezo. Alistahili kuwa Man of the match kwa upande wangu
7. Jonas Mkude 5.7
Alifanya makosa mengi na hakuendana na kasi ya mchezo. Kama refa angekuwa makini basi alostahili kadi nyekundu kwa uzembe kabisa
8. Clatous Chama 7.8
Alionesha kuwa ni mchezaji wa kimataifa na ana uwezo wa kucheza bila presha hata kwenye mechi ngumu. Assist aloyotoa kwa Okrah anaweza kutoa yeye pekee yake kwenye ligi yetu. Bila shaka atakuwa MVP wa 2022/2023
9. Sakho 6.0
Alionesha kiwango kizuri lakini bado ana tatizo la kukaa na mpira muda mrefu na kutoa pasi sehemu isiyo sahihi. Bado ana utoto mwingi.
10. Moses Phiri 5.4
Hakuwa na siku nzuri kazini. Alikuwa na wakati mgumu kwa Bangala na Job. Alifanikiwa kupiga faulo 1 tu tena nje ya lango. Alikuwa msaada mkubwa akirudi nafasi ya kiungo kumsaidia Mkude mara kwa mara..
11. Augustine Okra 9.2
Man of the match. Aliwanyima mabeki wa Yanga raha muda wote. Kama refa angekuwa makini basi Okrah angepelekea wachezaji Djuma na Aucho kula umeme. Alionesha dhahiri umri wa Djuma umeenda sana.
12. Habib Kyombo 6.2
Anaonesha ana uwezo mkubwa sana na anaweza kuwa mshambuliaji hatari wa Kitanzania kama akipewa muda zaidi. Alliweza kuwin mipira yote ya juu katikati ya mabeki. Kwa muda mfupi aliocheza alikuwa na impact kubwa sana.
13. Kibu Denis 4.6
Inaonesha kuna jambo haliko sawa kwake. Ana nguvu, kasi na uwezo wa kukokota mpira ila anafeli sana upande wa kufanya maamuzi sahihi. Kwa siku za mbeleni naona wazi akikosa namba na kutolewa kwa mkopo kabla msimu haujaisha.
14. Erasto Nyoni 4.6
Aliingia dakika za majeruhi kabisa.
YANGA
1. Dijgu Diarra 7. 2
Alikuwa mzuri golini ila alifanya baadhi ya makosa ambayo huenda yangezalisha magoli zaidi.
2. Djuma Shabani 6.7
Alikuwa na wakati mgumu sana kukabiliana na Okrah. Alithibitisha maneno ya Zahera kuwa amenenepa sana. Alikuwa na uoga wa kupanda kusaidia kujenga mashambulizi kama kawaida yake.
3. Kibwana Shomari. 7.0
Anapoteza kujiamini, amekuwa na uoga wa kupandisha mashambulizi lakini pia winga wake Kisinda hakuwa akimsaidia kurudi kukaba nafasi timu ikipoteza mpira.
4. Dickson Job 7.2
Alicheza kwa umakini mkubwa sana. Alidhihirisha kuwa akizidi kuaminiwa atakuwa bora sana. Kukosa mawasiliano mazuri na golikipa wake kulikaribia kuiadhibu timu.
5. Yanick Bangala 7.0
Alielemewa sana na mashambulizi. Kushindwa kwake kumfanyia marking Okrah kulisababisha kufungwa. Pia alikuwa na wakati mgumu sana alipoingia Kyombo. Hakuweza kuwin mpira wowote dhidi ya Kyombo.
6. Khalid Aucho 6.4
Alishindwa kukamata dimba kabisa na pia uzito mkubwa ama majeruhi yanamfanya kokosa kasi na kufanya makosa ya hatari. Uzoefu wake ulisaidia kupata faulo iliyozaa goli zuri la Ki Aziz. Alistahili kadi nyekundu kwa makosa ya kujirudia.
7. Feisal Salum 6.8
Alijitahidi kukamata dimba la Kati lakini Mzamiru Yasin alimdhibiti vilivyo. Bado ana tatizo la kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati sahihi.
8. Moloko 5.5
Ameonesha ni mchezaji wa kawaida sana. Alidhibitiwa vilivyo na Israh Mwenda. Ana kasi nzuri lakini anakosa malengo. Hakuweza kusababisha hatari yoyote kwenye lango la mpinzani.
9. KI Aziz 7.0
Zaidi ya goli alilofunga hakuwa na maajabu kabisa. Alidhibitiwa vilivyo na Mzamiru na onyango. Anakokota mpira muda mrefu hadi anapoteza. Hawezi kusaidia timu ikiwa haina mpira.
10. Fiston Mayele 6.7
Licha ya kutokufunga goli anabakia kuwa mchezaji hatari sana. Inaonesha alipigwa "misumari" akawa anshindwa kutumia nafasi vyema. Alikuwa akirudi kati kutafuta mpira na kusaidia kukabia juu.
11. Tuisila Kisinda 4.6
Zaidi ya mbio hana cha kuipatia timu kabisa. Anakosa uwezo wa kushikilia mpira mpaka wenzake wafike mwenye nafasi. Anacheza traditional football anaenda mbele tu hata kama hakuna uwezekano wa kupita. Siyo mzuri off ball.
12. Farid Musa 6.2
Nashindwa kuelewa ni kwa nini Nabi anashindwa kumuamini. Alipoingia aliweza kumtingisha Onyango na kama angekuwa makini wangepata goli. Ana kasi nzuri, anashikilia mpira na anajua kucheza kwa nafasi.
13. Gael Bigirimana 4.0
Mpaka sasa najiuliza ni kwanini aliingia uwanjani. Zaidi ya rafu aliyocheza sikumbuki kama aligusa tena mpira. Ni mchezaji mwenye jina kubwa kuliko uwezo.
Mchezo ulikuwa mzuri na wenye presha kubwa sana kwa timu zote mbili.
Muamuzi alijitahidi sana kwa uwezo wake lakini alitoa kadi za njano zisizo na msingi na ambazo zilimpa wakati mgumu kufanya maamuzi kwenye makosa makubwa zaidi
Anapaswa aelewe kuwa refarii mzuri sio anayekuwa mkali kwa wachezaji bali anayekuwa fair na kufanya mamuzi yasiyoleta maswali.
Hayo ni maoni yangu na haimaanishi lazima yawe kama ya kwako.
View attachment 2396957View attachment 2396958
Mzamiru alifanya Fei na Aucho waonekane kama mabeki tu halafu mtu haoni kazi ya mzamiruDuh.....we jamaa,hivi unaangaliaga mpira vema kweli?ukiona viungo wa timu pinzani hawajafanya kazi yao ipasavyo ujue ni kazi ya huyu mwamba.....
Kwa kuzingatia utendaji na michango ya wachezaji, hapa nitajaribu kutumia kipimo cha 1-10 kiwafanyia viwango wachezaji wa timu zote mbili.
Simba:
1. Aishi Manula 7.5
Alifanya kazi kubwa ya kuokoa hatari na pia kuanzisha mipango ya timu. Uzoefu wake ulisababisha kupatikana goli la Simba. Hata hivyo ameonesha kuwa vulnerable kwa kushindwa kupanga ukuta hadi akafungwa.
2. Mohamed Hussein 7.8
Alikuwa na kiwango kizuri sana. Alikuwa akipandisha mashambulizi na kukaba nafasi kwa ufanisi. Kisinda alionekana wa kawaida sana.
3. Israh Mwenda 7.5
Alifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu. Kutokana na umri wake mdogo inaonesha atakuwa bora na hata kumuweka Kapombe benchi. Anatakiwa kuongeza umakini na kasi ya kuachia mipira.
4. Enock Inonga 7.4
Aliweza kuzuia njia lakini alikuwa akipoteza pasi nyingi kwa kupiga mipira bila umakini.
5. Onyango 7.8
Alikuwa na siku nzuri kazini. Umakini mkubwa kwa mipira ya juu na kumnyima pumzi Mayele. Alikuwa mzito kukimbia ila alitumia akili nyingi kurekebisha makosa yake na ya wenzake haraka.
6. Mzamiru Yassin 8.2
Alikuwa na kazi kubwa ya kufanya. Alifanya kazi kubwa ya kiungo mkabaji akijitahidi kusahihisha makosa ya Mkude aliyeonekana kutoendana na mchezo. Alistahili kuwa Man of the match kwa upande wangu.
7. Jonas Mkude 5.7
Alifanya makosa mengi na hakuendana na kasi ya mchezo. Kama refa angekuwa makini basi alostahili kadi nyekundu kwa uzembe kabisa.
8. Clatous Chama 7.8
Alionesha kuwa ni mchezaji wa kimataifa na ana uwezo wa kucheza bila presha hata kwenye mechi ngumu. Assist aloyotoa kwa Okrah anaweza kutoa yeye pekee yake kwenye ligi yetu. Bila shaka atakuwa MVP wa 2022/2023.
9. Sakho 6.0
Alionesha kiwango kizuri lakini bado ana tatizo la kukaa na mpira muda mrefu na kutoa pasi sehemu isiyo sahihi. Bado ana utoto mwingi.
10. Moses Phiri 5.4
Hakuwa na siku nzuri kazini. Alikuwa na wakati mgumu kwa Bangala na Job. Alifanikiwa kupiga faulo 1 tu tena nje ya lango. Alikuwa msaada mkubwa akirudi nafasi ya kiungo kumsaidia Mkude mara kwa mara.
11. Augustine Okra 9.2
Man of the match. Aliwanyima mabeki wa Yanga raha muda wote. Kama refa angekuwa makini basi Okrah angepelekea wachezaji Djuma na Aucho kula umeme. Alionesha dhahiri umri wa Djuma umeenda sana.
12. Habib Kyombo 6.2
Anaonesha ana uwezo mkubwa sana na anaweza kuwa mshambuliaji hatari wa Kitanzania kama akipewa muda zaidi. Alliweza kuwin mipira yote ya juu katikati ya mabeki. Kwa muda mfupi aliocheza alikuwa na impact kubwa sana.
13. Kibu Denis 4.6
Inaonesha kuna jambo haliko sawa kwake. Ana nguvu, kasi na uwezo wa kukokota mpira ila anafeli sana upande wa kufanya maamuzi sahihi. Kwa siku za mbeleni naona wazi akikosa namba na kutolewa kwa mkopo kabla msimu haujaisha.
14. Erasto Nyoni 4.6
Aliingia dakika za majeruhi kabisa.
YANGA
1. Dijgu Diarra 7. 2
Alikuwa mzuri golini ila alifanya baadhi ya makosa ambayo huenda yangezalisha magoli zaidi.
2. Djuma Shabani 6.7
Alikuwa na wakati mgumu sana kukabiliana na Okrah. Alithibitisha maneno ya Zahera kuwa amenenepa sana. Alikuwa na uoga wa kupanda kusaidia kujenga mashambulizi kama kawaida yake.
3. Kibwana Shomari. 7.0
Anapoteza kujiamini, amekuwa na uoga wa kupandisha mashambulizi lakini pia winga wake Kisinda hakuwa akimsaidia kurudi kukaba nafasi timu ikipoteza mpira.
4. Dickson Job 7.2
Alicheza kwa umakini mkubwa sana. Alidhihirisha kuwa akizidi kuaminiwa atakuwa bora sana. Kukosa mawasiliano mazuri na golikipa wake kulikaribia kuiadhibu timu.
5. Yanick Bangala 7.0
Alielemewa sana na mashambulizi. Kushindwa kwake kumfanyia marking Okrah kulisababisha kufungwa. Pia alikuwa na wakati mgumu sana alipoingia Kyombo. Hakuweza kuwin mpira wowote dhidi ya Kyombo.
6. Khalid Aucho 6.4
Alishindwa kukamata dimba kabisa na pia uzito mkubwa ama majeruhi yanamfanya kokosa kasi na kufanya makosa ya hatari. Uzoefu wake ulisaidia kupata faulo iliyozaa goli zuri la Ki Aziz. Alistahili kadi nyekundu kwa makosa ya kujirudia.
7. Feisal Salum 6.8
Alijitahidi kukamata dimba la Kati lakini Mzamiru Yasin alimdhibiti vilivyo. Bado ana tatizo la kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati sahihi.
8. Moloko 5.5
Ameonesha ni mchezaji wa kawaida sana. Alidhibitiwa vilivyo na Israh Mwenda. Ana kasi nzuri lakini anakosa malengo. Hakuweza kusababisha hatari yoyote kwenye lango la mpinzani.
9. KI Aziz 7.0
Zaidi ya goli alilofunga hakuwa na maajabu kabisa. Alidhibitiwa vilivyo na Mzamiru na onyango. Anakokota mpira muda mrefu hadi anapoteza. Hawezi kusaidia timu ikiwa haina mpira.
10. Fiston Mayele 6.7
Licha ya kutokufunga goli anabakia kuwa mchezaji hatari sana. Inaonesha alipigwa "Misumari" akawa anshindwa kutumia nafasi vyema. Alikuwa akirudi kati kutafuta mpira na kusaidia kukabia juu.
11. Tuisila Kisinda 4.6
Zaidi ya mbio hana cha kuipatia timu kabisa. Anakosa uwezo wa kushikilia mpira mpaka wenzake wafike mwenye nafasi. Anacheza traditional football anaenda mbele tu hata kama hakuna uwezekano wa kupita. Siyo mzuri off ball.
12. Farid Musa 6.2
Nashindwa kuelewa ni kwa nini Nabi anashindwa kumuamini. Alipoingia aliweza kumtingisha Onyango na kama angekuwa makini wangepata goli. Ana kasi nzuri, anashikilia mpira na anajua kucheza kwa nafasi.
13. Gael Bigirimana 4.0
Mpaka sasa najiuliza ni kwanini aliingia uwanjani. Zaidi ya rafu aliyocheza sikumbuki kama aligusa tena mpira. Ni mchezaji mwenye jina kubwa kuliko uwezo.
Mchezo ulikuwa mzuri na wenye presha kubwa sana kwa timu zote mbili.
Muamuzi alijitahidi sana kwa uwezo wake lakini alitoa kadi za njano zisizo na msingi na ambazo zilimpa wakati mgumu kufanya maamuzi kwenye makosa makubwa zaidi
Anapaswa aelewe kuwa refarii mzuri sio anayekuwa mkali kwa wachezaji bali anayekuwa fair na kufanya mamuzi yasiyoleta maswali.
Hayo ni maoni yangu na haimaanishi lazima yawe kama ya kwako.
View attachment 2396957View attachment 2396958
Hauna tofauti na Prof Paramagamba KabugiKwa kuzingatia utendaji na michango ya wachezaji, hapa nitajaribu kutumia kipimo cha 1-10 kiwafanyia viwango wachezaji wa timu zote mbili.

Kosa la Job umeliona ila la Mzamiru aliye sababisha mkafungwa goal kwa kucheza faul hulioni?Kosa la kushindwa kumkaba Chama akatoa assist linamdiscredit