Y YASHA MOKA Member Joined Jun 8, 2015 Posts 26 Reaction score 0 Jul 20, 2015 #1 Viwanja hivyo viko wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma, vinauzwa kwa bei nafuu kabisa. Viwanja vilishapimwa. Mawasiliano zaidi piga no: 0758036032 Karibuni wote..
Viwanja hivyo viko wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma, vinauzwa kwa bei nafuu kabisa. Viwanja vilishapimwa. Mawasiliano zaidi piga no: 0758036032 Karibuni wote..
K Kinulwa.Mwankala Member Joined Jan 12, 2015 Posts 55 Reaction score 19 Jul 20, 2015 #2 Viwanja Kasulu kuna vumbi huko balaa
Y YASHA MOKA Member Joined Jun 8, 2015 Posts 26 Reaction score 0 Jul 20, 2015 Thread starter #3 popote pale uliko vipo sehem ilio tulia kabisa mti yakupandwa ipo hewa safi kabisa pia
Y YASHA MOKA Member Joined Jun 8, 2015 Posts 26 Reaction score 0 Jul 20, 2015 Thread starter #4 sehem viliko hakuna vumbi kuna kichanga kingi sehem yakasulu kunavisehem vimegawanyika kialidhi hapo vumbi nimalufuku
sehem viliko hakuna vumbi kuna kichanga kingi sehem yakasulu kunavisehem vimegawanyika kialidhi hapo vumbi nimalufuku
Y YASHA MOKA Member Joined Jun 8, 2015 Posts 26 Reaction score 0 Jul 20, 2015 Thread starter #5 popote pale uliko vipo sehem ilio tulia kabisa miti yakupandwa ipo hewa safi kabisa pia
K kajunju JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 999 Reaction score 318 Jul 20, 2015 #7 jadulu sehemu gani,isiwe kimobwa. taja ebeo na bei
cheguevara JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 1,348 Reaction score 653 Jul 20, 2015 #8 mbona simu yako haipatikani?eleza vzr viwanja ni size gani?viko wapi?bei gani? pia mbona simu yako haipatikani?
mbona simu yako haipatikani?eleza vzr viwanja ni size gani?viko wapi?bei gani? pia mbona simu yako haipatikani?
KATASAN'KAZA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 3,097 Reaction score 1,356 Jul 20, 2015 #9 Hivi we mtu mbona unaleta dharau hapa kiwanja kasulu kgm unatutangazia na watu wa dsm! Ebu andika tangazo sambaza kijijini kwenu huko....
Hivi we mtu mbona unaleta dharau hapa kiwanja kasulu kgm unatutangazia na watu wa dsm! Ebu andika tangazo sambaza kijijini kwenu huko....
WAKABAMBEE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 605 Reaction score 275 Jul 20, 2015 #10 KATASAN'KAZA said: Hivi we mtu mbona unaleta dharau hapa kiwanja kasulu kgm unatutangazia na watu wa dsm! Ebu andika tangazo sambaza kijijini kwenu huko.... Click to expand... Kasulu inaizidi Iringa, Lindi, Mtwara, Moshi,Songea, Geita, Kigoma na mikoa kibao tu kwa square kms. usibishe nina ushahidi na ntakubishia mpaka kesho. Ni mji unaotanuka kwa kasi na hela inapatikana. Karibu
KATASAN'KAZA said: Hivi we mtu mbona unaleta dharau hapa kiwanja kasulu kgm unatutangazia na watu wa dsm! Ebu andika tangazo sambaza kijijini kwenu huko.... Click to expand... Kasulu inaizidi Iringa, Lindi, Mtwara, Moshi,Songea, Geita, Kigoma na mikoa kibao tu kwa square kms. usibishe nina ushahidi na ntakubishia mpaka kesho. Ni mji unaotanuka kwa kasi na hela inapatikana. Karibu
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,833 Reaction score 2,878 Jul 24, 2025 #11 wapi?