Educationist_Buhangija
Member
- Jun 1, 2019
- 24
- 8
Naam, mnaongeaMkuu by instalment unachukua?
Saizi tafauti, tuwasilianeTangazo liko robo aisee, twambie ukubwa na bei
Majuzi nilienda Goba, viwanja kedhaa vimeuzwa vimebaki 5 vikubwa 27 hadi 32 na vitatu vidogo 450-600 sqrmt. Vina hati, husumbuki wala kusubiri, sote tutaenda kwa Hakimu (au Wakili) mnasaini, unalipa, unapewa hati. Unaweza kulipa polepole lakini hati hutoipewa hadi deni liishe. Angalia namba hizoView attachment UKUBWA VIWNJA GOBA KISAUKE.PDFSaizi tafauti, tuwasiliane
Majuzi nilienda Goba, viwanja kedhaa vimeuzwa vimebaki 5 vikubwa 27 hadi 32 na vitatu vidogo 450-600 sqrmt. Vina hati, husumbuki wala kusubiri, sote tutaenda kwa Hakimu (au Wakili) mnasaini, unalipa, unapewa hati. Unaweza kulipa polepole lakini hati hutoipewa hadi deni liishe. Angalia namba hizoView attachment 1172358View attachment 1172362
Utasikia njoo inboxUnauzaje mkuu?