Hata me nimeshtuka. Kijana anapiga debe hadi sauti inakauka. Najiuliza ni viwanja tu au kuna kingine. Na hii ya kutumia tigopesa pia imeniongezea hofu. Usikute baada ya 'mavuno' laini inatupwa.kwa hesabu za harakaharaka we ni mwizi kwani unapiga debe sana mpaka unawazidi nw wanasiasa uchwara wa bongo
Huko wachawi sana, wilaya ya temeke inagundu wako wamatumbi na wandengereko kazi yao kubwa ni kuroga tu. Mi sikutaki hata kama ingekuwa bure.
Mie nina kiwanja mitaa hiyo heka 1 jirani na vikindu mjini nauza milioni 3. Saabu ya kuuza natafuta ada ya chuo.
Hati ipo na ikiwezekana tuuziane mahakamani kwa usalama zaidi.
Tigo pesa hatuitaki ina risk sana kwa mfano ukikosea namba moja ikaenda kwa mtu mwingine ukiwapigia customer care hawapatikani hata ukiwapata wanakuambia ufuatilie mwenyewe, tuwekee no ya M-pesa yenye uhakika na jina la usajili wahiyo laini,nataka kutuma laki sita ndio nije hapo unikabidhi vyangu zangu viwili.
By the way, kwa wale mlioko mbali mnaweza kulipia viwanja vyenu kupitia TIGO PESA 0718-617-522. Lipia na utume sms ya jina unalotaka liandikwe kwenye hati.
Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA, 0718-617-522.
thanks
hiyo laki tatu ni ta title au kiwanja na title??
na je title ninayopewa ni ya wizara ya ardhi au certificate ya ownership ya kijiji?
Maamuma, GIBe100 hii ni biashara na inafuata misingi bora ya 'customer care' uadilifu na taarifa sahihi, hivyo msiwe na shaka. Watakaowahi kulipia ndio watakaouziwa, na vikiisha basi tunafunga hii 'thread'. By the way, vimebaki viwanja 16 tu.Hata me nimeshtuka. Kijana anapiga debe hadi sauti inakauka. Najiuliza ni viwanja tu au kuna kingine. Na hii ya kutumia tigopesa pia imeniongezea hofu. Usikute baada ya 'mavuno' laini inatupwa.
Mi napenda nifike mwenyewe ktk eneo la tukio angalau nipate hata kimoja baada ya kuona wengine ni akina Tomaso mpaka kuona ndio pesa inatolewa. Unaonaje kwa hilo?
Mrembo viwanja vya 20mx20m 'high density' ni nafuu kwa watu wa vipato vya chini, kila mtu ana hamu ya kuishi kwenye nyumba yake ila uwezo unakuwa mdogo.20X20 ni size ndogo sana, acheni kuchafua miji kwa vinyumba vya kubanana wakati ardhi ipo ya kumwaga nchii.
Mimi nimekwenda Vikindu hapo anaposema mtoa mada na nilifanikiwa kuongea mpk na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji Bw. Mwinykheri amesema hii issue ni uzushi na wala hawana taarifa yoyote kuhusiana na suala hili sasa jamani angalia msije ingizwa MKENGE mkanunua halafu mkaja kujutia. HAKUNA KITU HIKI KWA MUJIBU WA SERIKALI YA KIJIJI
Viwanja vinauzwa 'direct' bila kuhusisha madalali, viko Vianzi, wilaya ya Mkuranga mwendo wa dakika 45 kwa gari toka Mbagala Rangi 3.
Vimekatwa mita 20 kwa mita 20 na vinauzwa tsh. laki tatu tu, kwa kila kiwanja. Bei imejumuisha malipo ya ushuru wa kijiji na ukishalipia Laki tatu unapewa Hati ya kumiliki kiwanja chako iliyosainiwa na Viongozi husika wa Kijiji cha Vianzi.
Vimebaki vichache sana, anayewahi kulipia cash ndiye atakayepata. Nipigie simu au sms: 0718-617-522.
Jinsi ya kufika: pale Mbagala Rangi 3 panda basi la Vianzi Malela, shukia njia panda ya Manyani kuna barabara ndogo ya gari ifuate, mwendo wa robo saa kwa mguu utafika. Au ukishuka tu hapo Manyani, nipigie simu nikupe kijana wa kukuonyesha.
Karibuni sana, 'VIWANJA NA NYUMBA'. 0718-617-522.
km ngapi toka Dar?
Livanga nimesema dalali hausishwi kwa sababu madalali wana tabia ya kuaongeza bei na kutoza ada ya kuonyesha viwanja. Hii ni 'direct sale' mteja analipa na kupewa hati bila kupitia mtu wa kati.mwanzo ulianza kwa kusema kwamba dalali hausishwi ila kila unapozidi kuandika unaonekana ni dalali au tapeli.
Vimekaa karibu karibu na vipo square vzuri kiasi kwamba waeza kuviunga viwili ili eneo lilete maana?