KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Nauza viwanja 4 vimepimwa vipo Mapinga eneo la kiharaka kimoja kina nyumba ya vyumba 3 kuna umeme wa Tanesco na kuna kisima kimechimbwa.Nyumba ya pili ina vyumba vi nne vya kupangisha.
Kama ramani inavyo onyesha ni kuanzia kiwanja namba 18-21.
Kwa anayehitaji anione kwa namba hii 0688300088
Karibu sana.
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Kama ramani inavyo onyesha ni kuanzia kiwanja namba 18-21.
Kwa anayehitaji anione kwa namba hii 0688300088
Karibu sana.
Samsung SH 8 Mobile Traveller