Eka moja ni shi ngapi mkuu??Kwa anayehitaji Plots zilizopimwa Maeneo ya Bagamoyo zenye ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako tunaweza kuwasiliana.
Kwa sasa kuna plot inauzwa hipo karibu na mji wa bagamoyo (Ukuni) ni zaidi ya square mtre 1,000
Unaweza ku-PM kwa mawasiliano said I.
Ukuni pazuri sana..