marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
nimecheka sana baaada ya kusoma hii comment yako....halaf kakimbia baada ya kuweka post....sasa sijui atapataje comment za watu?! au anadhani kwa kuweka hilo litangazo lake na namba za simu ndio mwisho wa kila kitu?halafu mtu anakwenda kwa mganga kutafuta dawa ya biashara...
hata kutoa maelezo hawezi......
HALLOW WADAU WENZANGU,KWA WALE MIONGONI MWENU WANAOHITAJI VIWANJA VIZURI KWA BE NAFUU KABISA,KUANZIA MILIONI MOJA,WAWASILIANE NAMI KUPITIA NAMBA 0784327429/0767327429 AU EMAIL ammarandu@gmail.com.UKITAKA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA HIZO NAMBA AU HIYO BARUA PEPE.NI VIZURI UKANUNUA KIWANJA SASA HIVI KULIKO KUSUBIRI BAADAYE AMBAPO UTAKUWA UNAVISIKIA NA KUVIONA VYA WENZAKO TU HUKU UKISHINDWA KUYAEUPUKA MAUDHI NA BEI ZA MWENYE NYUMBA,ASANTENI SANA.