Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 136
- 214
Mkuu bei inategemea na sehemu husika hapoMkuu kumbe kuna sehemu square meter moja ni 30 elfu mpaka 25 elfu
Kibada nina ma(sqm) 1749 na kina hati fresh.
Napiga mahesabu mate ya uchu yanimwaika.
Ndio maana nikataja KIBADA..Mkuu bei inategemea na sehemu husika hapo
Ndio maana nikataja KIBADA..
kama unajua gharama za sqm kibada zikoje?
Ahsante kwa maarifa chief.Ukitaka upige hela vigawanishe kwa 400sqms kila utapata 3 (1,200sqms) kinachobakia 549 uza kama kilivyo
Kwa kibada i heard that ni 12,000 to 15,000 per sqm ingawa sina uhakika
Ila pia inategemea na eneo, umbali, kikoje tambarale au mabonde, umeme maji pia majirani nk