Nyumba zinauzwa ni hizi
1. Million 8
Chumba seble chumba
Bado haijafanyiwa finishing
Ukubwa wa eneo ni 25×25
Umbali km 6 toka moro road
2. Million 37
Vyumba vitatu(viwili master)
Inafanyiwa finishingi
Madirisha ya nyavu
Chini flow ya cement
Ukubwa wa eneo 20×30
Umbali ni km 2 toka moro road
3. Viwanja vipo
Kuanzia sqm 400, unaweza unganisha
Vipo 17
Kila sqm 400 ni million 4(pamoja na gharama za kuandikisha)
Umbali km 2 toka moro road
Umeme upo, maji ya dawasco yapo
4. Viwanja vya bei rahisi
Sqm 400 unauziwa na wazawa wenyewe
Kila sqm 400 ni million 2.5
Umbali km 4 toka moro road
Umeme upo na maji dawasco yapo
5. Shamba heka 5 zimepimwa zina hati ya wizara
Umbali km 5 toka moro road
Bei ni million 28 kwa heka
Umeme umefika na maji
Call/Whatsapp: 0744757738
NB: kupelekwa site ni 10k, usafiri wa gari full ac
Sent from my Infinix X657B using
JamiiForums mobile app