Kiwanja cha 15*20 kina square metre ngapi?
Ambayo
12000x300= 3,600,000
Kwa alicho andika ndo itakuwa na maana hiyo
Parefu
Amesema 17kms toka darajani. Hizo kms ni sawa na umbali wa kimara mpka kibambaKama ni eneo ni zuri kwa siku za usoni ni reasonable price kama ni ndani ndani.....hapo ndo mtihani
Nitafutie vijibweni au majirani at least 5 km toka darajani tafadhaliEneo: Mkokozi
Wilaya: Mkuranga
Bei: Square Meter 1 - 12,000
Viwanja vipo mpakani kati ya Kigamboni na Mkuranga.....Kutoka daraja la kigamboni ni km 17 tu.
Viwanja vimepimwa yaani ukinunua moja kwa moja unaenda kukamilisha taratibu za kupata hati.
Ni Pm kama ukihitaji nitakupatia namba.