viwanja boko vinapatina

Ellie

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Viwanja vinauzwa boko kwa reasonable prices, wasiliana na Mr.Nyenze +255712833135
 
Haya matangazo ya biashara yanachanganya mbaya wanaweka vitu nusunusu cjui tuwaelewe je?
 
Haya wakuu., 400sq meters., for a single plot na ni almost mita mia tatu from bagamoyo road.,6m per plot
 
Haya wakuu., 400sq meters., for a single plot na ni almost mita mia tatu from bagamoyo road.,6m per plot

vipi kuhusu umeme na maji are they available?
 
sure. kuna dalali alinipeleka seemu unapanda gari unashuka unapanda pkpk unamalizia na punda (maana ht pkpk hazifik)

Looh nakupa mji, mkuu....
 
Haya wakuu., 400sq meters., for a single plot na ni almost mita mia tatu from bagamoyo road.,6m per plot

Ellie: Hivi Eneo la Boko along Bagamoyo road unaweza kupata plot wazi ambayo ipo umbali wa mita mia tatu kutoka Barabarani?
 
Aseme Bei fasta na anasema Boko eneo gani ?

Boko Kubwa banaaaaaaaaaaa

Boko karibia na nini?
 
Boko CCM? Boko Dovya? Boko Basihaya? Boko kwa Wagogo? au.........
 
Mtu aliye serious atanitafuta., information zote atapata., umeme.,maji yapo available., vimebaki vipande viwili
 
Ellie: Hivi Eneo la Boko along Bagamoyo road unaweza kupata plot wazi ambayo ipo umbali wa mita mia tatu kutoka Barabarani?

Hapo lazima upigwe! Na bei yenyewe inatia mashaka
 
nawasiwasi na umbali wa mita mia 3. au unamaanisha km 3. hata km 3 zenyewe kushajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…