naipenda tanzania
Member
- Feb 21, 2012
- 11
- 3
viwanja bado vipo unapitia nyerere road mpaka mombasa/banana ndo unaenda bomba mbili
Unaweza u ka nitumia picha ya hivyo viwanja na unitumie number ya simu ili tuwasiliane kwenye email hii deodatus.zakaria@gmail.com
Ngoja mvua zinyeshe ndio tuje tukague maana usije tuuzia makazi ya samakivipo viwili vinaukubwa wa hatua 20 kwa 20,eneo zuri halina mambonde wala miinuko,vina hati zake ambaye anahitaji tunaweza wasiliana pm,bei ni milioni 4 kwa kila kimoja
Ngoja mvua zinyeshe ndio tuje tukague maana usije tuuzia makazi ya samaki