Bei ni mmoja hiyo ya 2.3m kwa size zote mbili? Yaani 20x20 na 40x40 vipi umeme uko umbali gani?Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana kwa ukubwa wa 20×20,40×40 huduma muhim zinapatkana kuna nafas ya mazungumzo
Contact: 0656 698232
Maeneo gan ya chanika kwa bei hiyo?Hapana 20×20 ndio bei ya 2.3 umeme upo karibu
Sasa kwanini husemi hiyo size ya pili yaani 40x40 ni bei gani!Hapana 20×20 ndio bei ya 2.3 umeme upo karibu
Mbna hesabu rahis sana mkuu 40×40 unachanganya vwl vya ukubwa wa 20×20 then unapata jib