Raymond mruma
New Member
- Jun 6, 2022
- 3
- 3
Karibu vikindu dar es salaam vikindu ujipatie kiwanja Kwa Bei nafuu ukubwa wa eneo ni futi 50 Kwa 40 Bei laki sita na huduma zote za kijamii zinapatikana Kwa muhitaji piga namba 0676338052 pia hii namba ipo what's App
Tapeli huyoVikings wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, rekebisha si Dar es salaam
Hamnaa hati ya serikali za Mtaa ndgViwanja vipo vikindu wilaya ya mkuranga mtaa wamalela kisayan na pia vina hati ya serikali ya mtaa
Na huu ndio ukweli kabisa.Katika matangazo jaribuni kuwa WA kweli ili msipotezee watu muda wao.
Huduma za kijamii zipo ambazo zipo hapo malela????
Hapo ni zaidi malela ,hakuna umeme Wala maji alafu nyie katika matangazo YENU mnaweka huduma za kijamii zote zipo.!
Tangazo lenu limekaa kimkakati sio vyema japo hakuna utapeli mana nawafahamu vizuri
Kutoka vikindu tu mpaka site ni 14 kilometers