Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Viwanja vipo Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam.
Ni karibu na Madale Mwisho.
Viwanja vinne vipo km 2 kutoka Madale Stendi, na kimoja kipo karibu na Stendi ya Goba Mpakani.
Ukubwa wa viwanja vinne ni 20x20 na bei ya kiwanja kimoja ni milioni 13; maongezi yapo.
Kiwanja kimoja kina nyumba ambayo imefika kozi tatu juu ya linta, yaani ukinunua unapaua tu. Hii bei yake ni milioni 30. Maongezi yapo. Ukubwa wa kiwanja ni 20x20.
Viwanja vyote vipo karibu na umeme. Maji ndiyo DAWASA inaanza mchakato. Majina ya wateja wa maji yamesha orodheshwa.
Barabara: viwanja vipo karibu na Barabara ya Bunju A-Madale ambayo ipo katika matengenezo. Pia kuna barabara ya Goba Mpakani kwenda Goba Road. Hivyo, kwa usafiri unaweza kuamua kutumia stendi ya Madale au Goba Mpakani.
Viwanja havijapimwa. Vinamilikiwa kihalali. Sijapiga picha.
Kama upo seriously, piga simu 0713 695 147