Ardhi Kigamboni
Member
- Mar 31, 2016
- 44
- 6
Baadhi ya plot zikiuzwa lazima mabadiliko yataonekana. Lakini plot ikiingia mpya lazima mabadiliko yataonekana. Sqm 800 ya Juma Bei yake ni tofauti na sqm 800 ya John. Nadhani umeelewa Bei kwanini zinapaswa kubadilika.Naona Bei aitullii mzeee