Plot4Sale Viwanja Kigamboni

viwanja_sales

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
18
Reaction score
10
Habari za leo, Tunauza viwanja vilivyopimwa kuanzia square meter 500 na kuendelea. Viwanja hivi vipo kigamboni Cheka, Mwasonga na Kimbiji.
—Kwa Mwasonga square meter1 ni elf5
—Kwa cheka square meter1 ni elf 15
—Kwa kimbiji square meter1 ni elf20 (Karibu na bahari)
Ukinunua kiwanja kwetu tunakupatia hati yako! Tuna viwanja vya beach pia tuna viwanja vilivyopo karibu na feri! Karibuni sana🙏. Wasiliana nasi 0746853161 ipo wasap na normal call pia!

Nahitaji kiwanja Kigamboni Mnadani mwisho Kibada kisiwe mbali wa zaid ya 2km kufika lami, kama unacho nicheki
 
Mkuu nimeona hapo mnatoa hati
VP ni hati kutoka wirazani?
VP gharama za hati mnazibeba nyie kama ofisi au ni za mteja nje ya malipo ya kiwanja?
Kama malipo ni nje ya bei ya kiwanja utuambie gharama za hati zinaweza kuwa sh ngap kwa mchakato mzima mpaka hati inapopatikana
 
Kwa viwanja vya cheka na kimbiji huko karibu na bahari hati tunatoa bure yaani garama za hati tunazibeba sisi, ila kwa Mwasonga utachangia gharama za hati! Gharama ya hati ni laki3
 
Kwa viwanja vya cheka na kimbiji huko karibu na bahari hati tunatoa bure yaani garama za hati tunazibeba sisi, ila kwa Mwasonga utachangia gharama za hati! Gharama ya hati ni laki3
Viwanja vya beach,umbali wake kutoka baharini ni ngapi

Ova
 
Viwanja karibu na ferry ndio bei gani kwa sqm?
 
Kwa viwanja vya cheka na kimbiji huko karibu na bahari hati tunatoa bure yaani garama za hati tunazibeba sisi, ila kwa Mwasonga utachangia gharama za hati! Gharama ya hati ni laki3
Je, Hati ni ya Wizara?
 
Nahitaji kiwanja Kigamboni Mnadani mwisho Kibada kisiwe mbali wa zaid ya 2km kufika lami, kama unacho nicheki
KIWANJA KINAUZWA KINAPATIKANA KIGAMBONI TUANGOMA
UKUBWA: META 30 KWA 30
BEI: MILLION 16
CONTACT: 0715 128 827
Maongezi yapo kidogo
NB: Huduma za kijamii zote zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…